How to download window 10

How to download window 10

Jaman naombeni mnisaidie namna ya kudownload window 10 mpka sasa bado nmereserve tu bt cjui namna ya kuipata

ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.

kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files
 
Mimi nishapakua ila inanidai key wakati wa kuinstall fresh copy.
Mwenye ufumbozi anipe maana nyuma ya pc hamna.
Natumia hp 530
 
ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.

kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files

Naomba mnisaidie kupata activation code za window 10
 
ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.

kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files
Haitahitaji key?
 
Run windows10activatordownload.com/

Kama unahitaji key au activator

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Thanks kwa walio nipigia jana naamini wamepata elimu ya kutosha!! Ya'll welcome

Or I don't but maybe I'll help..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Msaada kwa yeyote anaejua jinsi ya ku-download window 10 Pro full activation
 
Ni kudownload kutoka kwenye torrent sites au tafuta mwana JF aliyepo karibu na wewe akupe image
 
Me nna shida na Microsoft excel na power point kwa window 7
 
Back
Top Bottom