Kwa aliyewahi kutumia mile range antenna

kolelosi

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
814
1,939
Eid Mubarak jamiiya,
Wakuu jana niliweka uzi wakuuliza hii kitu naona mods wakapita nao,

Kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia antenna hizi naomba atupe uzoefu wake hapa je ni nzuri zinasaidia kwa sisi wenye TV zenye ving'amuzi ndani?.
IMG-20200730-WA0013.jpg
IMG-20200730-WA0009.jpg
IMG-20200730-WA0012.jpg
IMG-20200730-WA0006.jpg
IMG-20200730-WA0004.jpg
IMG-20200730-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom