Natafuta Betri AAAA za Microsoft surface pen

jwhizzy

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
678
383
Wakuu Nina hii device shida moja imetokea pen yake imeisha nguvu. Kuja kucheki kumbe Inatumia betri AAAA, Nilifikiri ni rahisi kuzipata lakini imekuwa ni changamoto. Nyingi zipo za AAA Tu.

Mdau yoyote anaejua zinapatikana alisaidie. Nitashukuru Sana. Nipo Mkoani.

images%20(2).jpg
 
View attachment 1516138
Kama arusha njoo Benson utashindwa wewe ila kwenye supermarkets kubwa hua wanauza
 
#Nipedili wadau Nina shida na screen ya Samsung A 5( 2017) Kama una Samsung iliyo aribika tafadhalinl kuja tufanye Bussines. Au Kama unamjua mtu mwenye aina hiyo ya simu na screen ni nzima please ni connect naye.
Masawiliano 0742645242
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom