Unafanyaje kujua served password kwenye simu ya mtu mwingine?

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
30,703
37,313
Jamani rejeeni kichwa cha habari hapo juu,hivi unafanyaje kujua served password kwenye simu ya mtu mwingine,yaani ameugwa WIFI lakini aliyemuunga kaficha password huwezi ziona kwenye hiyo simu?
 
Kama unatumia simu OS ya android
Nenda setting> wifi hitspot
Utaona sehemu ya password utaweka view password

Utaziona
 
Jamani rejeeni kichwa cha habari hapo juu,hivi unafanyaje kujua served password kwenye simu ya mtu mwingine,yaani ameugwa WIFI lakini aliyemuunga kaficha password huwezi ziona kwenye hiyo simu???
Kwa ufahamu wangu. Kwenye simu za android 9 kwenda chini huwezi kuangalia hyo password bila root.

Ila kwa android 10+ devices unaweza iona kwenye wifi options ya hyo wifi network iliyokua connected.

Utaona screen kama hii:
see-passwords-for-wi-fi-networks-youve-connected-your-android-device.w1456.jpg
 
Kwa ufahamu wangu. Kwenye simu za android 9 kwenda chini huwezi kuangalia hyo password bila root.

Ila kwa android 10+ devices unaweza iona kwenye wifi options ya hyo wifi network iliyokua connected.

Utaona screen kama hii:
View attachment 1522811

Ngoja niunganishe Wifi, asante kwa kutupatia nywila.
 
Ninachojua Mimi Smartphone Yoyote Inakuja na Password Halafu Ipo Hapo Hapo Kuna Sehemu Imeandikwa Show Password Ukibofya Unaiona.

Ukifanya Factory Reset Inatengeneza Password Mpya
 
Ninachojua Mimi Smartphone Yoyote Inakuja, Na Password Halafu Ipo Hapo Hapo Kuna Sehemu Imeandikwa Show Password Ukibofya Unaiona.

Ukifanya Factory Reset
Inatengeneza Password Mpya
No sio hii, hii ni kama simu yako imeungwa WIFI ya ofisi, halafu IT admin hataki muijue password, hivyo anaificha lakini simu inasoma wifi imeunganishwa.
 
Back
Top Bottom