Ideas za Project za Umeme

man_chaya

New Member
Jul 25, 2020
4
0
Wadau hapa tusaidiane kama una project yoyote kuhusu Electrical Engineering.

Karibuni wadau wa JF
 
Design Fault Locator in Distribution System. Hapa naongelea Distribution na sio Transmission Line.
Mfano una Substation ambayo ina distribute 33kV to various areas. Sasa imetokea fault let say Earth Fault then by using GPS system then protection relay iseme kuwa fault imetokea kwenye coordinates mfano 0342337E/0457994N. Then directly unajua fault imetokea eneo fulani na uweze kurekebisha.
Hii ukiweza itanunuliwa na TANESCO kwa gharama yoyote.
 
Hata watumiayo kwa sasa, kama wataamua kuiboresha, inafanya vizuri tu, si inasoma fault kwa m/s?
 
Design Fault Locator in Distribution System. Hapa naongelea Distribution na sio Transmission Line.
Mfano una Substation ambayo ina distribute 33kV to various areas. Sasa imetokea fault let say Earth Fault then by using GPS system then protection relay iseme kuwa fault imetokea kwenye coordinates mfano 0342337E/0457994N. Then directly unajua fault imetokea eneo fulani na uweze kurekebisha.
Hii ukiweza itanunuliwa na TANESCO kwa gharama yoyote.
Asante sana kaka
 
Back
Top Bottom