Kampuni ya Elon Musk inayoitwa xAI, imeishitaki jimbo la Minnesota (Marekani) kufuatia sheria mpya inayopiga marufuku teknolojia ya "nudification." Teknolojia hii inatumia Akili Bandia (AI)...
Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐
Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐ฅ๐ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu...
Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐คฏ๐ฅ
Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐ฑ๐
๐ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker...
Wadau,
Nimekuwa nikifuatilia mashindano ya MAKISATU 2026 yaliyoendeshwa na COSTECH. Ninashangaa kwamba wavumbuzi wengi wachanga wanaojituma peke yao hawapati nafasi.
MAKISATU inaeleza kuwa...
Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! ๐ฅ
Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. ๐ค๐ฅ...
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.
Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.
Mfano...
Pata nambari ya IMEI ya kifaa chako (*#06#)
Nambari ya IMEI au Nambari ya Kitambulisho cha Vifaa vya Simu ya Kimataifa ni nambari ya kitambulisho cha kipekee chenye tarakimu 15 kinachotolewa kwa...
Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine
Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha...
Habari zenu wakuu
NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020.
Pia...
IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,
ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana...
Router ya Voda imeandikwa 5G na niliichukua Vodashop. Lakini ajabu ni kwamba, panel yake inasoma 4G na spidi (Mbps) haifiki hata 25 kwa kifurushi cha Tsh. 110,000.
Hii imekaaje? Yaani unanunua...
Habari wakuu,
Samsung Note 10 yangu, mwaka jana ilianza kutokaa na chaji. Mafundi walinishauri nibadili betri. Nikabadilisha pale Kariakoo nikimshuhudia fundi hatua kwa hatua.
Ghafla haikai na...
Niliwahi kuandika humu kuhusu biashara ya WIFI kwenye jukwaa la story of change lakini watu walipokea kitofauti kwenye jukwaa lakini kiuhalisia iligusa wengi na watu wanajipatia kipato. Biashara...
Kwa sasa inapotokea umepoteza simu na ukahama kuingia simu nyingine hautaweza kuunganishwa tena na App ya tigo pesa. Tofauti na App za bank au mitandao mingine Tigo Pesa au Mixx by Ass utalazimika...