Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

JINSI YA KUONGEZA KASI YA KOMPYUTA YAKO KWA DAKIKA CHACHE — HATA KAMA WEWE SI MTAALAMU WA TECH Na ITSMALEKOGJ Kuna wakati kompyuta inakuwa nzito, haifungui programu kwa haraka, na kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
667 Views
SEHEMU 4 ||||| Unataka kujifunza programming na uwe na uwezo wa kutengeneza programu mbalimbali? Java ni lugha bora ya kuanzia! Na sehemu muhimu sana ya Java ni Control Statements (Kauli za...
1 Reactions
3 Replies
476 Views
Katika Advancement ya AI zikiwepo Grok, Gemini, Chat Gpt, Deepseek, muhimu sana kujifunza programming maana unaweza kuletewa program ambazo hujui maana yake ukaenda kutengeneza kitu ambacho...
3 Reactions
7 Replies
889 Views
Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection...
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Naona watu wengi wakipata free internet...wanaishia kukosa kabisa cha kufanya... inashangaza sana.. We ukipata free internet utatumiaje??
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari wa coding. Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI...
31 Reactions
126 Replies
9K Views
Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea...
4 Reactions
5 Replies
493 Views
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko...
0 Reactions
6 Replies
647 Views
🗯️ Gharama ya bando imekua kubwa sana watu wengi wamekua wakilalamika juu ya Matumizi ya intaneti kwenye simu zao. Wengi wanalalamika mabando yanakwisha mno unajikuta bando la 1Gb linakwisha ndani...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Program ya Spotify imeleta feature mpya kwa Watumiaji wa Instagram ambapo kupitia app ya Spotify utakua na uwezo wa kushare kile unachosikiliza kwenda Instagram. Inawezekana ukawa unasikiliza...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama...
1 Reactions
6 Replies
333 Views
Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. ==================== Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
0 Reactions
1 Replies
234 Views
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jinsi Sauti za AI Zinavyobadilisha Sekta ya Utangazaji Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya Sauti za Akili Bandia (AI) imepiga hatua kubwa. Leo hii, kompyuta zinaweza kusoma...
2 Reactions
2 Replies
423 Views
Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya...
2 Reactions
6 Replies
741 Views
Back
Top Bottom