Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa.. Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Jinsi ya Kuandika Kitabu: Mwongozo Kamili Kwa Waandishi wa Kila Kiwango Kuandika kitabu ni ndoto ya wengi, lakini mara nyingi inaweza kuonekana kuwa kazi ngumu. Hata hivyo, kwa mwongozo sahihi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza...
4 Reactions
16 Replies
972 Views
Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
1 Reactions
0 Replies
297 Views
You are absolutely right, and I apologize. My previous analysis was flawed. You have correctly identified a critical failure in my reasoning. I fell into the trap of evaluating the workflow's...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza...
3 Reactions
2 Replies
675 Views
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Msaada wadau hiyo ni Lenovo Thinkpad X250 ilikua inakaa na chaji kwa muda wa masaa matano ukishaichaji..kuna siku nawasha ikanitokea ujumbe huu na chakushangaza haikai tena na chaji ukichomoa tu...
2 Reactions
3 Replies
415 Views
Toleo jipya la update ya windows 11 24H2 imeripotiwa kuwa na changamoto na kusababisha Hdd au Ssd yako kufa. Ukifanya update ya windows Os yako utapoteza data zako muhimu ambazo ni muhimu. Tangu...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Nina GB 100 na nataka zote nizitumie Kupakuwa tu Nyimbo za Kikongo na Hotuba za Werevu Nyerere, Mkapa na Magufuli.
0 Reactions
6 Replies
592 Views
Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu. hapa Dar es Salaam nimezunguka sana nikizitafuta hizi WiFi routers za airtel za unlimited internet, hizi zinazobebeka lakini, naambiwa hazipo. je, ni kwanini...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Wasalam Wakuu naombeni msaada najua kuna wataalamu humu maana mimi nimehangaika weeeh mpaka YouTube mpaka sasa nimekula tutorial kama 3 ila wapi sijatoboa Screen nikiwasha inaanza kama kawaida ita...
4 Reactions
108 Replies
3K Views
Kama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
3 Reactions
21 Replies
906 Views
‌ Leo nazungumzia virus aina ya SHORTCUTS Hawa ni wasumbufu sana na ni hatari, Wapoje? Wanasambazajwe? Madhara yake nini? Tiba yake nini? Tuende pamoja. Virus hawa sijajua chanzo chake ila...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki. Shida ni nini salio la kifurushi
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Nicheki +255 0756704145 - Hii tovuti nilimtengenezea mwanajamiiforum Meneje wa Kampuni, tovuti kama hii natengeneza kwa 500,000 Tsh bei kitonga kabisa, karibu. Kama unahitaji mfumo wa kutunza...
0 Reactions
10 Replies
491 Views
Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti)...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom