Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust...
1 Reactions
3 Replies
487 Views
Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa...
2 Reactions
3 Replies
570 Views
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine Kila siku tunabadilishana mafaili kama JPG, PDF na mengineyo bila hofu yoyote. Hata hivyo, ukweli ni kwamba faili...
3 Reactions
3 Replies
430 Views
Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
"Torrents zinafanyaje kazi?" Ni swali ambalo wengi wamekuwa wakiuliza, hasa wale wanaodownload filamu, tamthilia, au programu kama Photoshop bila kulipia. Katika uzi huu, nitakueleza kwa kina...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kuna jambo linanisukuma sana kulileta mezani leo. Mara nyingi jamii huamini kuwa mtu asiyekuwa na uwezo wa kuona hawezi kutumia vifaa vya kidijitali kama smartphone au laptop...
2 Reactions
1 Replies
350 Views
Kwa wale wanaohitaji huduma ya PayPal #unataka KUTUMA au KUPOKEA pesa kupitia PayPal nipo hapa kukurahishia kazi, ni DM tu . TRUST.. 💯✅ Hii ni kwa wale ambao hawana kabisa akaunti PayPal na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO...
0 Reactions
1 Replies
545 Views
Kweli muda unakimbia sana 🕦, kutoka Kuwa movie mpaka maisha Halisi watu watakua na uwezo wa kufunga ndoa na maroboti wa Ai, na Roboti zitakua na uwezo wa kubeba Mimba. China iko kwenye mpango wa...
0 Reactions
10 Replies
668 Views
Microsoft Office Professional 2019 ya windows 10,11 Bei 20,000 napatikana Mkoa wa dar es salaam, Mbezi, simu 0756704145
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa...
20 Reactions
52 Replies
6K Views
The (unofficial) hub for #teampixel and #madebygoogle fans on Jamiiforums. Find support, discover the latest updates, and connect with others in the dedicated sub-jamiiforums community for google...
2 Reactions
3 Replies
407 Views
Tatizo la SHG03 – Simu Haioneshi Network Baada ya Kutumika na Mtu Mwingine Maelezo: Habari wenzangu, Nina tatizo na simu yangu ya Sharp Aquos SHG03. Nilikuwa nikiitumia kwa Vodacom/Tigo, kisha...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Technical Report: Large-Scale Display Systems for Exhibitions and Church Services Executive Summary Large-scale display systems used in outdoor exhibitions and church services primarily utilize...
0 Reactions
4 Replies
444 Views
Jamani,Tujadili matatizo na suluhisho la vifaa vya umeme kama vle tv,feni,redio n.k
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Nina Aiwa smart tv ambayo haidisplay chochote ukiiwasha. Nahitaji fundi aje aiangalie.
1 Reactions
5 Replies
382 Views
Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
5 Reactions
15 Replies
2K Views
HOW TO FIND PROFITABLE BLOG NICHES INTRODUCTION starting a blog is exciting, but choosing the right niche is what determines your success. a profitable niche helps you attract traffic and make...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Back
Top Bottom