Masaa 72 baada ya muamala kugoma....... WHY?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,573
Reaction score
14,175
Wakuu nisaidieni kuelewa kuhusu hili

Kuna emergency hela inatakiwa haraka sana,
Natuma Halo Pesa kiusahihi kabisa bila kukosea halafu hela haifiki ilikotumwa na kwenye acc hela imetoka
Unapiga simu customer care wanakwambia hela ipo hewani haijafika unatakiwa eti usubiri masaa 72 ndio hela itarudishwa kwenye acc yako

Najiuliza sana kwanini niadhibiwe kwa makosa sio yangu?
Au ndio kusema hii issue kiteknolijia ni ngumu sana hadi ihitaji masaa 72?...... yaani siku 3
Kwamba hakuna namna ni lazima masaa 72

Yaani hapa nilipo jasho linanitoka kwa hasira kidogo nimtukane customer care
Mi nashida zangu halafu unakaa na hela yangu masaa 72?........Shubamit

Nahii ni kwa mitandao yote yani imesha nitokea kwa tigo na voda pia
 
Huwa nashangaa sana hyo kitu mtu una emergency usubirie saa 72 na weekend hawafanyi kazi kabisa
 
Wakuu nisaidieni kuelewa kuhusu hili

Kuna emergency hela inatakiwa haraka sana,
Natuma pesa kiusahihi kabisa bila kukosea halafu hela haifiki ilikotumwa na kwenye acc hela imetoka
Unapiga simu customer care wanakwambia hela ipo hewani haijafika unatakiwa eti usubiri masaa 72 ndio hela itarudishwa kwenye acc yako

Najiuliza sana kwanini niadhibiwe kwa makosa sio yangu?
Au ndio kusema hii issue kiteknolijia ni ngumu sana hadi ihitaji masaa 72?...... yaani siku 3
Kwamba hakuna namna ni lazima masaa 72

Yaani hapa nilipo jasho linanitoka kwa hasira kidogo nimtukane customer care
Mi nashida zangu halafu unakaa na hela yangu masaa 72?........Shubamit

Nahii ni kwa mitandao yote yani
Ungetaja ni mtandao ama benki gani ungeweza pata suluhisho
 
Halotel

Lakini imeisha nitokea kwa Voda na Tigo pia huko nyuma

Wakati naongea na muhudumu ananambia “hiyo ndio sheria ya miamala kwani wewe hujui”
 
Huwa nashangaa sana hyo kitu mtu una emergency usubirie saa 72 na weekend hawafanyi kazi kabisa
Iliwahi nitokea, wakasema nisubiri saa 24 zikapita nikapiga tena wakaniambia the same.. Aiseee moto niliouwasha hawawezi sahau. Mbona ndani ya dakika 10 hela yangu ilirudi.
 
😩😩😩😩😩 hii siyo sawa kabisa.

Back
Top Bottom