Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,389
- 5,976
Wazee, heshima zenu.
Nina huu mzigo, lakini napata changamoto moja. Nikijaribu kuplay video, iwe youtube au kwenye mashine yenyewe, inajizima. Lakini kazi zingine na audio, haina shida.
Tatizo laweza kuwa lipi hapa!