Nauliza kama kuna mtaalamu wa kutengeneza appk

Nauliza kama kuna mtaalamu wa kutengeneza appk

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
32
Nauliza kama kuna mtaalamu wa kutengeneza appk kwaajili ya kuweka education materials na kuiweka playstore. Ani pm
Asanteni
 
Zipo nyingi huko tayari. Yako itatofautianaje na zilizopo huko? Fanya kwanza upembuzi yakinifu usije ukaingia magharama makubwa ukaishia kuingia hasara. Kila la heri
 
Back
Top Bottom