Waungwana Nina photo copy machine tajwa hapo juu,tangu nimekuwa nayo nashindwa kutumia printer yake maana Sina drivers zake.Cd nayo iligoma kuwa installed kwenye pc.nimejaribu kudownload drivers kupitia chrome pia mafanikio hakuna.mwenye maarifa na Jambo hili naomba msaada wake