Ku-link modem na hotspot

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,155
Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa settings zake ili niweze kuwaunganisha na wengine.

Modem nilinunua dukani imeandikwa wireless 4g USB Modem (HSPA).

CHIEF MKWAWA na wengineo
 
Sio kwenye P. C tuu, itafanya kazi hata ukiichomeka kwenye kichwa cha Charger
 
Usb modem. Chomeka kwa pc. Connect internet , kisha nenda kwenye hotspot ya pc yako iwashe waconnect.

Summary
 
Usb modem. Chomeka kwa pc. Connect internet , kisha nenda kwenye hotspot ya pc yako iwashe waconnect.

Summary
1650383864705.png

Inaandika kama ilivyo hapo juu
 
Back
Top Bottom