Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama kichwa kinavyosomeka Naomba msaada hivi baada ya ku chip PS3 yako unauwezo wa kuingiza game kwa kutumia USB Flash au External Hard Disk?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitaji page iweze kuaccept mastercard, visa and the like. Kama wewe ni mtaalam/kampuni na unajua unachokifanya nicheki pm tubadilishane mawasiliano.
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau habarini,napenda kufahamu na kuyajua maduka hapa Dar es salaam yanayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya mtandao kwa bei ya jumla au reja reja Vifaa hivyo ni kama vile 1. Cisco router & switch...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani unaambiwa wanao apply kwa kutuma proposal ni wengi balaa, project moja unakuta proposal mia mbili nakuendelea kadri muda unavyozidi kwenda. So swala muda ndo muhimu kuwa active muda wote na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jf, Hivi system kama ilivyo ubber ama taxfy kuitengeneza inagharibu bei gani? Natamani specifically iwe kwa bodaboda tu kwa ajili ya mikoani na sehemu za vijijini hili ndo...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo Ni programu ambayo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nipo Dodoma, nina dish la continental, decoder ya continental. Ninatumia dish mbili za continental. 1. satelite dish mbili 2. DiSEqC Switch 3. continental decoder...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Habari zenu wanajukwaa, naomba kujuzwa kama ninaweza kutumia dish la azam nikiwa na king'amuzi cha zuku.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam wakuu, Kuna jamaa yangu amenijuza kwamba pale D.I.T wanafunga mitungi ya gesi kwenye magari ambayo inakua ni alternative power (fuel) ya gari. Kwamba unaweza ukafunga mitungi ukakimbia hata...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
natumia macbook pro intel (R) core(TM) i5 2435 CPU @ 2.40 GHz. RAM 4GB nime install windows 10. tatizo linakuja hapa baadhi ya software za 3D zina run slow sometime nashindwa kuelewa tatizo ni...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna mtu amewahi kutumia Mypaseo kufanya keyword searching? Kama yupo anaweza kunipa jinsi gani naweza kupata ASV ya keywords?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to...
2 Reactions
1 Replies
842 Views
Waungwana Nina photo copy machine tajwa hapo juu,tangu nimekuwa nayo nashindwa kutumia printer yake maana Sina drivers zake.Cd nayo iligoma kuwa installed kwenye pc.nimejaribu kudownload drivers...
0 Reactions
3 Replies
572 Views
Habar wakuu niko Arusha nilipata mtihani wa kuibiwa simu aina ya redmi note 9s kwa mwenye uwezo wa ku track ama mwenye kufahamiana na mtu wa aina hyo msaada tafadhali.
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu habarini, Niko na hii simu aina ya Sony Ericson ilitoka Germany, sasa noma ni kwamba network yake iko locked kwa line za huko Ujerumani. Kunaeza kua na yeyote mwenye idea ya jinsi ya...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Waungwana pole na majukumu. Kwanza nitoe pongezi kwa wana tech kwani mmekuwa msaada mkubwa sana kwangu maana pale ninapo pata changamoto na kuja hapa tatizo langu huwa linaisha kwa muda mfupi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…