DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 119
Kama mada inavyojieleza, kwa aliyewahi install hii software katika PC alitimia njia gani akafanikiwa na ikafunguka vema.
Mimi imenitesa sana na nimetumia muda mrefu sana lakini wapi, wana tech msaada wenu kwa mlioweza kiinstall na ikafunguka.
Najaribu kuwaza au mpaka kununua graphics card ndo ikubali au namna gani.
Msaada tafadhali