Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Heshima kwenu wakuu,
Leo nimekumbuka jinsi Selfie Stick ilivyokuwa gumzo mjini. Slay queens na Ma brazamen ilikuwa kila weekend au kwenye event Full kukenua. Now it's gone unaonekana wakuja ulitumia hayo madude eti kushikilia simu ili kujipiga selfie.

Je mdau unakumbuka Teknolojia ipi au App gani ilikuwa kwa fujo mara Ghafla chalii, tupa kule.

Karibuni kwa itakaowapendeza.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hoverboard scooter

DA466B67-9F37-416F-917D-4A4731469718.jpeg
 
enzi hizo kama hauna black berry unaonekana haupo kwenye trend
Utakuja kushangaa kuna watu watazishangaa Iphone miaka ijayo
Wajuaji walikuwa wanazipenda sana pamoja na limitation zake lakini walikuwa hawaachi kuzisifia... kwabtuliotumia OS ya symbian ,na gingerbread na windows wanaelewa naongea nini
 
Back
Top Bottom