muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,579
- 1,142
Habari wana jamii humu ndani, naomba ushauri: Kati ya infinix hot 10 vs samsung a11 ipi nichukue? Nipo mkoani, hizo uzote bei ni moja, laki 3 na elfu 70.
Pia ikiwezekana ushauri ulenge kwenye specs na ubora, karibuni ndugu zangu.
Pia ikiwezekana ushauri ulenge kwenye specs na ubora, karibuni ndugu zangu.