i-store
Member
- Mar 10, 2020
- 54
- 63
Helo wakuu,
Mimi sio mwenyeji sana hapa jukuani. Mtanisamehe kwa uandishi. Mimi ni mdau mkubwa sana wa technologia ila ni vile tu nilichagua mlengo usiofaa. Nikirudi miaka 15 sasa hivi nachagua kusoma IT hasa programming. Ila ndo ivo.
Ni hivi muda mwingine najikuta nasema ningekuwa na uwezo wa kuprogram ningeshatengeneza hiki na hiki. Changamoto ni ujuzi na hela pia.
Nilishajaribu kucheck na watu watatu wa4 wajuzi wa programming nao ni kama wana pursue dream zao. Ukiwaelekeza wengine ndo hivi wanasema nipe mil kadhaa nafanya.
Bottom line: nimeamua kujoin hand na watu wenye wanajua programming na wako tayari kuanza from scratch. Tunaweza ungana tukatafuta mawazo mengi tunaacess lipi na kulifanya na tukalifanya. Furaha yangu ni kuona tunatatua hata changamoto moja tu. Sio kila siku kampuni za nje zinakuja kuwekeza hapa sisi vijana tumebaki tu watazamaji.
WITO: Kama uko na wazo au ujuzi hasa wa programming na uko kitaa tunaweza ungana tuone tutafanya nini kuadd value kwenye jamii yetu hii. NB. Mimi nitajitolea kutafuta ofisi na kuweka miundo msingi. Kazi itakuwa kushare idea na kutekeleza. Together we stand.
Hata tukiwa watatu tutaanza hapo. Mwenye yuko na interest anicheck PM. Ukiwa Dar itakuwa vizuri zaidi. Ila kama uko mkoani tutaona namna nzuri.
Trust me. Tukiwa na vichwa 10 tu by 2035 tutaweza rusha satellite yetu. Hii sio ndoto ni uamuzi tu. Ukija PM nipe short CV mfano jinsia, umri, ujuzi n.k.
Asante.