Activate Window 10 Bila kuwa na Product Key (Free)-SOLVED

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
505
1,000
Niaje Wazee....

Leo ningependa ku share na nyie jinsi gani mnaweza ku-activate window(Version 10) bila kuwa na Product au License Key
Kabla hatuja ona solution ni vyema kujua nini tunakifanya kwanza....

Nini maana ya ku activate window, product key au license key

Sera za matumizi za Window kwa mjibu wa Microsoft ni kwamba unaruhusiwa kuhamisha Window Operating system
kutoka kwenye Pc moja kwenda nyingine na sio ku share hio window katika PC mbili

Sasa unazuia vipi watu ku share software yako?

Kujibu hili swali,Microsoft wakaja na hii feature ya ku-activate window....
Window itakapo hamishiwa kwenye PC nyingine,hii Feature inakua activated automatically na kukutaka
u activate window yako

Kwa ku activate window,Microsoft itajua kama hio version ya window inayo run kwenye PC yako ilihamishwa(means original) au ni copy tu(ya original)
Sasa ku activate window kuna fanywa katika namna mbili

Njia ya kwanza ni kwa kutumia Product key
Product key ni orodha ya characters 25(herufi,alama na namba) zikiwa kweye format ya XXXXX-XXXXX-XXXX-XXXXX
Microsoft itatumia hio Product key ku verify uhalali wa window yako

Njia ya Pili ni License key
Hii ni mbadala wa Product key unaokuwezesha ku activate window yako bila haja ya kuwa na Product key

Kama huna Product key au License key huna budi kununua genuine version ya window


SOLUTION
Solution ni rahisi,kama huna Product key au License key unaweza ku activate window yako kwa hizi hatua chache


  • Nenda kwenye Home screen ya PC yako(Desktop)
  • Bonyeza Right Click
  • Select New option kwenye Dropdown menu
  • Select Text Document kwenye Dropdown menu itakayofata baada ya hatua ya juu hapo
  • Ipe jina hio text document kama '1click.cmd'
  • Activation Code Tembelea hio link...Copy hayo maneno yote(Ni activation codes kwa ajiri ya ku activate window yako for free)
  • Fungua hio text document (1click.cmd) then paste hizo codes zote
  • Baada ya hapo Right click kwenye hio text document na select Run as administrator
  • CMD window itafunguka kuchakata hio Program
  • Na window yako itakua activated
Kwanini tuna activate window?
Ili Tuwe na uwezo wa ku Personalize PC zetu kama ku change Wallpaper , Themes,Lock screen na mengine mengi

Contact: 0748333586

SHORTCUT

Pakua hilo file, then right click ku Run as administartor

Result:


Activate window.PNG
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,132
2,000
Unaeleza kama hujawahi kufanya programming, wee jamaa!??? Umejisoma kwanza ukajiediti!??? Au unataipu wakati unawahi mwendokasi!???
 

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
505
1,000
Unaeleza kama hujawahi kufanya programming, wee jamaa!??? Umejisoma kwanza ukajiediti!??? Au unataipu wakati unawahi mwendokasi!???
Sijaelewa dogo ulicho andika kabisa

Hii ni special post kwa watumiaji wa window wanaotaka Ku activate window zao
Haina mahusiano yoyote na programming
Na inafanya kazi.....shule si mmefungua lakini?
 

McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,316
2,000
Watu km nyinyi ndiyo wamesababisha jukwaa la tech kufa kwa sababu mnajiona mekamilika kwa kila kitu wakati hamna lolote mnalofanya zaidi ya kejeli.
Si kila uzi lazima uchangie. Zingine unasoma tu. Muombe msamaha mtoa uzi kwasbb umemkosea sana
Unaeleza kama hujawahi kufanya programming, wee jamaa!??? Umejisoma kwanza ukajiediti!??? Au unataipu wakati unawahi mwendokasi!???
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,132
2,000
Watu km nyinyi ndiyo wamesababisha jukwaa la tech kufa kwa sababu mnajiona mekamilika kwa kila kitu wakati hamna lolote mnalofanya zaidi ya kejeli.
Si kila uzi lazima uchangie. Zingine unasoma tu. Muombe msamaha mtoa uzi kwasbb umemkosea sana
Level yako ya humor ni zero %

Nakushauri njoo hospitali ya taifa tukutibu mastress
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom