Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,542
- 4,117
Wakuu salaam.
Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla.
Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC ya picha ndo imeharibika. Nikatoa hela kununulia hio AC lkn ilipowekwa haikubadilika iko vile vile.
Ivi inaweza kuwa na tatizo gn? Huyu fundi anajua kazi yake kweli au anabahatisha tu?
Msaada wenu Plz.