Wajuzi wa simu naomba msaada....!!!

Wajuzi wa simu naomba msaada....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua.
Cc: Chief-Mkwawa
gsmarena_002.jpg
0x0.jpg
 
Back
Top Bottom