Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 136
- 214
Habari? Nauza laini ya safaricom 30k napaatikana kimara mwisho.
Hii ni kwaajili ya wanaotaka kufungua paypal
Hii ni kwaajili ya wanaotaka kufungua paypal
naipataje wa shy hukuMhhh 30k broo
Sisi huku mpakani sirari tunazinunua 100 ksh sawa na 2000tsh
Mkuu usijali mwezi wa saba naenda home sirari nitakuletea free of charge ikiwa bado unaihitaji. Achana na huyu mleta mada ety '30k' utafikiri ya kwake INA TV ndani...!naipataje wa shy huku
HahahaMkuu usijali mwezi wa saba naenda home sirari nitakuletea free of charge ikiwa bado unaihitaji. Achana na huyu mleta mada ety '30k' utafikiri ya kwake INA TV ndani...!
saivi upo wapiMkuu usijali mwezi wa saba naenda home sirari nitakuletea free of charge ikiwa bado unaihitaji. Achana na huyu mleta mada ety '30k' utafikiri ya kwake INA TV ndani...!
Niko karema katavisaivi upo wapi
Hiyo line inasoma mtandao nje ya Kenya?Niko karema katavi
Yaah inasoma........kutuma na kupokea pesa na hata kupiga na kupokea SimuHiyo line inasoma mtandao nje ya Kenya?
Mkuu au niongee na jamaa yangu aisajili aitume kwenye basi LA kisire linaloenda kahama kutoka sirari uwape tu gharama za usafiri AU kama huna uhitaji sana uvumilie nikienda nikuletee. Kataa wahunisaivi upo wapi
gharama ya kusafirisha shi ngap then Bora kutumia yanayoenda mwanza. Maana ya kahama hayatanifikiaMkuu au niongee na jamaa yangu aisajili aitume kwenye basi LA kisire linaloenda kahama kutoka sirari uwape tu gharama za usafiri AU kama huna uhitaji sana uvumilie nikienda nikuletee. Kataa wahuni
upo darAnayehitaji angekuwa karibu yangu ningempa bure kabisa,kwasasa sina matumizi nayo
Kahama linapitia shinyanga.gharama ya kusafirisha shi ngap then Bora kutumia yanayoenda mwanza. Maana ya kahama hayatanifikia
Yaahupo dar
sehem ganiYaah
Mbagala zakhiemsehem gani