Huduma ya Vodacom supakasi tatizo

Huduma ya Vodacom supakasi tatizo

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,337
Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email napigiwa simu nafokewa.
 
Duh mbona hatari hii...

Mimi wiki ya pili hii hata account ya kulipia sijapewa, sasa sijui nikilipa itakaa muda gani!
 
Sisi tumelipa ni kuzungushwa tu Mara kesho na huku nilienda kuwauliza wakasema ndani ya siku tatu tutakua tumefungiwa huduma ila mpaka Leo meneja wa Dodoma anatupiga sound nikituma email ya malalamiko makao makuu dsm kale kadada kananipigia na kunifokea. Sijui wanataka Rushwa
 
Wamefunga huduma iko safi
IMG_0101.png
 
Video YouTube na stream 4k
 
Attachments

  • 0302F25E-1D17-43F1-AF58-D79C8EDFDF0A.jpeg
    0302F25E-1D17-43F1-AF58-D79C8EDFDF0A.jpeg
    3.4 MB · Views: 81
Iko juu batini iko vizur wako kasi kweli kweli japo ni kifurushi cha 115000
Hatimae tumepata mhusika ambae anaweza kutuelezea kila kitu, hakika utakuwa msaada kwetu mkuu..

Gharama za kufunga hio supakasi ni shingapo kiujumla kuanzia mafundi, vifaa, n.k.

Unapofungiwa mara ya kwanza unalipia kile kifurushi cha kwanza au unaanza kulipia mwezi ujao?

kiufupi tunaomba uchambuzi wa gharama za kufaniskisha ufungiwe hio supa kasi.

Pia huwa inachukua muda gani mpaka wakamilishe zoezi la kufunga, maana huwa naskia wanakaguaga kwanza eneo sasa isije ikawa wanarudi baada ya mwezi
 
kiufupi tunaomba uchambuzi wa gharama za kufaniskisha ufungiwe hio supa kasi
Unalipia 230000 kam pesa ya ulinzi miezi miwili ya mwisho wa mkataba hutolipia watakata kwenye hiyo pesa afu ukifungiwa unaanza kutumia unalipa mwezi ukiisha 115000
 
Kwa hio hapo ni kwama ukifungiwa hio huduma tarehe 1 january ni kwamba ukilipia hio 230,000 utafungiwa kila kitu na kuanza kutumia internet, ikifika tarehe 1 february ndio utalipia hio 115,000 kwajili ya mwezi wa january au sio ?

Halafu mwezi wa 11 na 12 hutalipia ila utaanza kulipia upya mwezi january mwaka ujao ?

Hii kitu nipo serious sana nifunge nyumbani maana tunapitwa na mengi sana kwenye huu ulimwengu wa internet, yani vitu kama netflix nashindwa kuvitumia kwasababu ya vifurushi ghali.
 
Ndio kabisa
 
Hatimae tumepata mhusika ambae anaweza kutuelezea kila kitu, hakika utakuwa msaada kwetu mkuu..

Gharama za kufunga hio supakasi ni shingapo kiujumla kuanzia mafundi, vifaa, n.k.

Unapofungiwa mara ya kwanza unalipia kile kifurushi cha kwanza au unaanza kulipia mwezi ujao?

kiufupi tunaomba uchambuzi wa gharama za kufaniskisha ufungiwe hio supa kasi.

Pia huwa inachukua muda gani mpaka wakamilishe zoezi la kufunga, maana huwa naskia wanakaguaga kwanza eneo sasa isije ikawa wanarudi baada ya mwezi
Hapo mpaka waje wakufungie kuna changamoto...mi unaenda mwezi sasa huduma sijapata.sijui wana matatizo gani hata siwaelewi.
 
Kwa sasa watu wengi washaelewa kuhusu unlimited hivyo wengi hujiunga unlimited kypitia kampuni mbali mbali
 
Back
Top Bottom