Msaada kuhusu TV yangu

Mo pal-mo

Senior Member
Jan 16, 2021
176
243
Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya kubofya power button kwenye remote na kuruhusu tv kuwaka Sasa imegoma.

Nikibofya power button bado tv haiwaki,kwa anayejua namna ya kutatua naomba MSAADA.
 
Mtu analeta uzi halafu uzi wenye unakuwa pungufu sijui mpaka tuulize ni Tv kampuni gani
 
Tatizo dogo sana hilo power supply hiyo angalia fundi asikupige hela
 
toa iyo chaj yake kama unatumia kingamuz cha dstv tumia iyo cable yake ya umeme kuchomeka nyuma ya Tv itakubal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom