Hizi ndio features 2000+ ambazo huzifahamu kwenye WhatsApp

Hizi ndio features 2000+ ambazo huzifahamu kwenye WhatsApp

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
454
Reaction score
240
ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT.

""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot""

1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW ๐Ÿ™„๐Ÿ“ฑIna uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote.

2. TUMA NYIMBO KWA ONE COMMAND ๐Ÿ’ฟ๐Ÿ’ปUnaweza mtumia mtu nyimbo yoyote ile kwa one command mfano unaandika tu "play Ruger bounce song" na nyimbo inaenda muda huo huo kama umedownload.

3. ALWAYS ONLINE ๐Ÿ“ฑ Unaweza kuset always online. Yaani mtu akikutumia ujumbe muda wowote ataona ujumbe umefufikia hata kama upo offline.

4. ALWAYS TYPING ๐Ÿ–ฅ๏ธโŒจ๏ธ Unaweza set always typing yaani ๐Ÿ˜‚ hii kwa wale wazinguaji ndio mahala pake,, labda umeingia kwenye group ukaona group limepoa unaset tu always typing wadau kule kwenye group muda wote watakulna una typing wakati hata kama upo offline ๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ.

5. ALWAYS RECORDING ๐ŸŽค hii unaweza kuset muda wote uonekane una record hata ukiwa offline.

6. AUTOBIO ๐ŸŽฎ hii unaweza kuset kila baada ya dkk 1 bio yako iwe Ina jiupdate bio ni kule ambapo unaset kwa mfano labda ,, Busy au At school au available au sleeping nk.

7. PICTURE KUWA STICKER ๐Ÿ“ธ hapa pia unaweza ukaset ukaigeuza picture yako kuwa sticker kwa kureply kwenye picture unayotaka iwe sticker unaandika tu . sticker na inakuwa sticker muda huo huo.

8. MANENO KUWA VOICE NOTE ๐Ÿซฆ hapa unaweza kuandika labda "hello how are you doing" kwa maneno na ikawa voice note ๐Ÿ˜ฑ.

9. UNAWEZA UKACONTROL MAGROUP YAKO YOTE hata ukiwa offline unaweza ukacontrol magroup kwa kuset bot kwa mfano hutaki mtu atume link kwenye group lako utaset mtu akituma link itampa onyo mara ya kwanza mpk mara tatu alafu ika mzuia kwa muda au kumtoa kwenye group
Hii ni introduction tu ila Kuna features zaidi ya 2000+

Tunatengeneza bot kwa Tzs =/2000 tu
Contact: nitumie massage Whatsapp ๐Ÿ‘‰ +255623553450

Pay after work โœ…
 
Hizo features labda kwa WhatsApp mods.
 
Umelitengeneza Tangazo lako la Kazi vizuri, Hongera. Hope watakuja wa bot wengi
 
Back
Top Bottom