Ni nini nahitaji kuanza biashara ya Web hosting?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,204
34,119
Habari wana jf!

Kama kichwa kinavyosema! Je nawezaje kuanza biashara ya web hosting?? Ni vitu gani nitahitaji? Na gharama ni shilingi ngapi??

Je ni options gani ntakua nazo? Nikihitaji kuwa na server yangu mahali ili watu wahost websites zao na kulipia ni nini kinahitajika?

Karibuni wadau..

MK254 CHIEF MKWAWA Stephano mtongoo Graph snipa Njunwa wa mavoko zech na wanajf wote...
 
Kwa uelewa wangu naweza recommend uwe na hivi vitu

1.Knowledge on important matters pertaining to web hosting
2.Website for your business with or without WHMCS intergration +/- Payment gateways
3.Reseller Hosting account
4.Your own Hosting server(For Advanced Business)
5. Credit or Debit Card with Online purchase Enabled
6.Business marketing strategies

Ila ukitaka kuwa successful kwa Bongo pia uwe umeji ajiri kutengenezea watu websites maana hao hao ndo watakua wateja wako tofauti na hapo biashara itakua ngumu.

Unaweza pia tangaza biashara yako(Business marketing strategies) kupitia mitandao ya kijamii kitu ambacho naona watu wengi hawafanyi wakati makampuni makubwa kama Google kila siku naona matangazo yao ya Google adsense kwenye social networks kama Instagram and by the way hauitaji budget kubwa kutangaza hili kuwafikia watanzania walau 100,000 wenye uelewa mpana na technolojia.

kuwa tayari kuleta revolution mimi huwa na moyo sana kununua hosting package kwa wabongo wenzangu ila package zao ni michosho sana unakuta Bandwidth kakupa 80GB yes hii sio storage ni bandwidth...site ikipata pata visitors kwa week kama mbili Unaambiwa Bandwidth Limit exceeded,seriously unakufa moyo unaamua bora usetup server yako uwe una host site zako au uende online huko kuna package kibao more reliable na cheap.
 
Njunwa Wamavoko hiyo knowledge ya web hosting ni kama zipi...infact i know some basics za php...css html

Je hiyo whmcs inahitaji niwe na server zangu mahali??

Na inakuaje nikitaka niwe na server zangu..pc ambazo ziko on all the time...italipa??
 
Ni Biashara ngumu kuanza na ina ushindani sana. Nashauri ufanya market survey kwanza usijepoteza fedha zako. Tafuta watu waliofanya wakaacha wakupe changamoto zao uone unazikabili vipi. Pia soma articles mbalimbali jinsi ya kuwa succesful Host na jinsi makampuni makubwa ya Hosting yalianza na kufika yalipo.

Hii itakupa mwanga wa biashara hii na dynamics zake. Then uanze kufikiria utapata wapi wateja na utawatunza vipi. Je kwa nini watu waje kwako na sio sehemu nyingine?

Mwisho usione shida kumlipa Professional Business Consultant wa mambo hayo kwa ajili ya indepth analysis and advice. Hapa utaishia kupata ABC to mengine itabidi ukomae mwenyewe au umlipe mtu akusaidie.

Ushauri wa Njunwa Wamavoko uuzingatie.

Mwisho kabisa rekebisha jina langu ;)
 
Si biashara ngumu kivile kama umejipanga. Unaweza Anza na reseller hosting ambayo nzur ni kama kuanzia 40000 kwa mwezi. Ukianza kupata wateja wengi una upgrade kwenye vps
Kama ni rahisi ki hivyo ungemsaidia kupata wateja kabisa ili 40k yake kwa mwezi iwe na faida...!
 
Njunwa Wamavoko hiyo knowledge ya web hosting ni kama zipi...infact i know some basics za php...css html

Je hiyo whmcs inahitaji niwe na server zangu mahali??

Na inakuaje nikitaka niwe na server zangu..pc ambazo ziko on all the time...italipa??

Umewahi ku Host site yoyote wewe mwemyewe bila msaada au ndo unataka kuanizsha web hosting business lakini utashindwa kutoa simple troubleshooting kwa wateja wako?

Hicho ndicho nilichomaanisha kuhusu kipengele cha swala la knowldge.

Hiyo WHMCS ni just additional tu ndo maana nkaiweka kama +/- ila kuwa nayo inasaidia sana sana ukiwa na payment gateway na ni rahisi sana ku manage clients wako kwa hii japo sio bure waweza google details zake na haina correlation na kuwa na server yako.
 
Shukran sana mkuu...nimekupata!!

Ntajitahidi kutafuta ujuzi zaidi!
 
kibongo bongo wengi ni reseller mkuu wananunua hosting kwa makampuni makubwa na kukuuzia wewe kwa rejareja, kama unataka biashara hii sio ngumu na muda mchache tu unaweza ukawa na wewe una kampuni ya hosting. mfano mimi hosting ninayotumia wana hio plan ya reseller unaweza angalia

Reseller Hosting - Cheap Reseller Hosting | Namecheap.com

kwa watu wajanja mara nyingi hawanunui kwa reseller huwa wananunua kwenye site maarufu zinazoaminika, hivyo biashara hii mara nyingi hutegemea wateja ambao ndio wanaanza anza.

njia ya pili ni kutumia cloud service kama microsoft azure na amazon cloud, hizi unanunua space na kutengeneza unachotaka wewe kama hio biashara ya hosting lakini hii itahitaji utaalam zaidi.

njia ya Tatu ni kuwa na server zako mwenyewe, hii ni risk na ina gharama kubwa ila utakuwa kama monopoly kama itafanikiwa sababu sijawahi sikia hosting za kibongo bongo zinazo target watu wa kawaida.

faida ya hosting ya hapa hapa Tanzania ni kwamba vitu vya ndani vitafunguka kama unasoma gazeti, server ipo kariakoo, mtumiaji yupo magomeni, ping 1ms hapo ukiclick tu page inafunguka,

jambo muhimu kwenye server ni pc zinazokula umeme mdogo na zenye nguvu kama xeon phi, na umeme wa uhakika masaa 24.
 
Hiyo njia ya tatu ndio ilikua target yangu mkuu!! Kuwa na server yangu alafu watu waje ku host kwangu!! Najua kitanzania lazima uwe na standby au automatic generator ambayo ita take over umeme ukikata!!

Je kiasi gani kitatosha kama nikianza na server ya chini huku nikijikuza?? Thanks kwa mawazo!
 
hapo hadi ufanye utafiti wa soko kwanza, naweza kukuangalizia bei ya hardware lakini hio ni issue ndogo tu hapo kuna bei ya software, administration etc, ni vitu vinavyohitaji wataalam zaidi.

kuna internet na mambo ya Ip hapa nafkiri TTCL wanahusika, kuna usajili wa serikalini, kuna security etc

tafuta mtu hata wa nje ambae anahusika na haya mambo akupe hata rough estimation
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom