Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa:
✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store
✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku...
TSH Rates
Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo...
💭 Naam sio filamu za kuigiza Tena ni maisha Halisi, kwa miaka mingi Teknolojia ya Magari ya kupaa iliweza kugunduliwa toka mwaka 2015 kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Tim Draper.
💭 Kampuni ya Alef...
📍Utangulizi
Katika dunia ya biashara ya kisasa, bidhaa pekee hazitoshi. Unaweza kuwa na bidhaa bora kuliko kila mtu — lakini kama hakuna anayejua unaiuza, huna tofauti na mtu asiyeuza kabisa...
Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025.
Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na...
Hydrogen Atom: Schrödinger
Equation and Quantum Numbers
Selection Rules state that:
“Allowed” transitions between energy levels
occur between states whose value of differ by one: ∆L= +1 and...
Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu
Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone...
Nasikia ety Kuna gb Whatsapp iliyohakiwa, na huwa inakuwaga nzuri kweli, yaani haisumbui kama zingine
Naomba ufafanuzi tafadhali wakuu, na kama uko nayo nisaidie plzzz
🗯️ Hivi unajua nchini Tanzania Kampuni ya @infinixmobiletz pia inatoa bidhaa mbalimbali sio simu tu pekee Kuna Kompyuta, Earbuds, Pasi bila kusahau Television.
🗯️ Naam kuna Television nzuri na za...
Habari wana jamii forum, ninayo pc ya hp nyeusi, changamoto yake leo nimejaribu kuweka window 10 2019 imegoma kabisa na sitaki kufuta data zangu zilizopo kwenye pc. Naomba mnisaidie.
kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio?
Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini...
How To Install Windows 11 On Unsupported Devices
Microsoft’s latest operating system, Windows 11, is now here, and while it comes with a long list of system requirements, it’s feasible to get...
Leo tupeane ujuzi kuhusu AC aka viyoyozi je ni kweli huwa zinatumia unit hadi 35 hadi 40 kwa zikiwasha masaa 24?
Wenye AC mje mtupe ushuhuda huwa mnatumia vipi na huwa inatumia units ngapi kwa...
Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar.
startup kubwa huanza na swali dogo.
Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant...
Habari ya majukumu wadau.
Samahani naomba kufahamu member yeyote ambaye anatumia Waka tv kwenye android tv box anisaidie namna ya kulipia subscription.
Kila nikijaribu sipati code ya registration.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.