Msaada wako hapa mtaalamu Nokia

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
431
512
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones
Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.
 
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones
Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.

Jaribu kuzima simu na toa betri kwa muda mchache kisha washa tena kama bado hakajatoka chukua maamuzi magumu ya kuiganyia simu yako factory reset
 
Kama una Nokia PC Suite, Ifanyie simu yako software update. Mara nyingi bugs kama hizo unaweza kusolve kwa ku-update.
 
Labda wewe hata mimi nimekuelewa. Hako ka head set huwa kananikera sana. Huwa inanilazimu kuweka loud speaker ndio tuwasiliane.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones
Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.

.
hako ka ki2 hakausiani na Manual settings au hata uki restore...
.
kwa kawaida huwa kanatokea ukichomeka headphones vibaya, au uki kalia simu kwa bahati mbaya...
.
uwezekano wakutoka sijajua bado ila nadhani ni mdogo mim ntawalaumu NOKIA mana hyo kitu nimezoea kuiona kwa hz Tecno za kawaida na fake nyingne..
.
na pia niliona mala ya kwanza kwenye nokia 1200 vile kama nakumbuka vizuri..
 
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones
Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.

Mi sio mtaalamu wa Nokia wala sijawahi kumiliki hiyo simu tajwa ila kutokana na maelezo na michango ya wadau hapo juu inaonekana kama simu inakuwa triggered kufikiri kuna headphone imechomekwa, if hamna headphones then chances are ni software bug which you are at the mercy of Nokia kupata update to fix that au inawezekana something happened to 3.5mm audio jack yako....
 
Kabla ya yote chomeka headset uone kama utapata menu yenye option ya kudisable headset. Niliwahi kupata tatizo hilo zamani nikiwa na Nokia 3120 sikuwa hata na headset nikapigia voda wakanishauri nimtafute mtu wenye headset nifanye kama nilivyoeleza hapo juu, nikakatoa kwa njia hiyo.
 
fanya ww weka earphone zen angalia kama inapiga mzigo kama inapiga chomoa ilo tatizo linatokana ulitoa earphone lakin pale kwa dislay aikotoka fanya ivyo itatoka
 
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones
Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.
Jamani naombeni msaada natumia google pixel 3A. Nikichomeka earphones inajizima sijui tatizo ni nini. Msaada nifanyaje na ninapenda sana kutumia earphones
 
Jamani naombeni msaada natumia google pixel 3A. Nikichomeka earphones inajizima sijui tatizo ni nini. Msaada nifanyaje na ninapenda sana kutumia earphones
Earphone zipo nyingi angalia yale meno/njia/ring kama ni mawili jaribu matatu, kama ni matatu jaribu mawili, manne etc.

images.jpeg-17.jpg
 
Back
Top Bottom