Ni kweli Mkuu..nlizani nitazipata nirekebishe niigawe.
Aisee bado unayo adapter ya hii siemensAisee spea ya makitu hiyo ya siemens ni tatizo, landa upate ingine iliyokufa utoe spea. Mimi nilikua na fujitsu siemens ikaleta tatizo hadi leo nimeacha mijusi wanatagia humo!
Kanunue laptop Acha Maisha ya UkimwangaliaHabari wakuu..natafuta housing,keybord ikiwezekana na battey za Laptop aina ya Fujitsu lifebook T5010.Kwa yeyote atakayeweza kunipatia au kama unajua ambapo naweza kupata,natanguliza shukrani.
Kama hii?Mwenyew natafuta motherboard ya folio 9470