Wakuuu salaam. Simu yangu ni infinix hot 8. Ina mwaka mmoja tu tangu niinunue. Hapo kabla ilikuwa iko vizuri tu Ila Cha ajabu ilianza kugoma ku connect Bluetooth . Mwanzoni nilikuwa nacheza nyimbo...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri juu ya simu yenye Camera nzuri kwa ajili ya kupiga picha za biashara/kazi. Nina Salon ya kike inahusika na make up, kucha na ususi wa nywele.
Kama mnavojua...
1. Friendly Ig ;hii app inakupa uwez wa kuperuzi(surfing) on Ig bila automatic video play na inakupa uwez wa kudownload picha Mnato na tembezi:utasevu Sana
2. Quora:ni app inayokupa insights mbali...
Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,,
1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu?
2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme...
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.
Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa...
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tz
Wakuu naomben msaada kitu kimoja,Ni hivi mimi napenda niweze kutengeneza game la kwenye simu ila shida ni kuwa sijui coding wala nini, ko naomba mnaojua...
Wanajamvi naomba msaada:
Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock...
Habarini wana jf wenzangu,
Naomba kujulishwa au kufahamishwa ni app gaani ilio boora ambaayo naweza kuitumia kujua mahali alipo mtu anaetumia simu ndoogo ya mkonooni(battani).
Nawasilisha asanteeni.
Mimi ni fundi simu upande wa hardware na ni mzoefu kwa miaka 10 na 90% ya simu ninazotengeza ni tecno, infinix na itel. ni kweli kila simu inaharibika na kila siku napokea simu zenye matatizo...
Nina uelewa mpana kidogo juu ya html na CSS ila ni mgeni kweny js na php
Kweny practice zangu upande wa forms hua natumia attribute ya required ili kufanya validation lakin naona kama sio unyama...
Wakuu wangu me nimehitimu kidato cha Nne na natarajia kusoma IT napenda sana mambo ya technology. Je nikwavipi naweza kuwafikia watu wengi zaidi kupitia mtandao na technology kwa ujumla???
Nahitaji kutunga uwezo wa Python ambao unachukua msururu wa kamba kama ugomvi wake. Uwezo unapaswa kuchapisha kamba hizo kwenye muhtasari ambao una kama vifungu vidogo vitu vyote vinavyozingatiwa...
Mtaalamu mmoja wa masuala ya Cyber ameichunguza na kugundua kuwa searching engine ya google ina mchezo wa kupuuzia maneno yako unayoandika ili kusearch na kukupa matokeo ya vitu vinavyotrend hata...
Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging.
Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.