Tatizo na nyie Huwa mnatka mtu afungue nyuzi Moja tu au .. Sasa ya Jana ipo kivyake na hii ipo kivyake wewe kama huna msaada unapita kimya hakuna shida.Jana unalalamika hela huna...leo unataka uingie dark web ukanunue vitu...boss unataka kununua nini