Nishaurini ninunue tv ipi kati ya hizi flat screen

Nishaurini ninunue tv ipi kati ya hizi flat screen

Wala usihangaike na nyingine Samsung kwa sasa ndo wanaongoza kwa ubora wa TV bora.
 
Samsung ndio kila kitu kwa units na rangi.!!
 
Samsung ndio kila kitu kwa ubora na rangi.!!
 
Sure Kitu cha Samsung. Tena kama uko njema jipakulie "Smart TV yako Series 8" Ndio Mpango mzima.
 
Ivi ile samsung inchi 21 yenye mgongo kidogo inauzwaje ?
 
mkuu hyo samsung smart tv series 8 ni shng ngap na ni inch ngap
 
Samsung na LG zote zinatengemezwa kiwanda kimoja kwa hiyo jina tu ndo wengi wanapenda Samsung ila hazina tofauti ni kusoma tu kujua ipi ni ipi. LG hata mie sio fan wake wa jina hilo ila wengi wanazipenda pia.
 
TV Ipi ya flat screen imara kati ya singsung, sumsung, na Zec.

kaka wote wanakuingiza chaka hyo tv uliyoona ni sumsung sio samsung wanayokwambia usije ukanunua sumsung ukadhani samsung tv bora, since zote michina maybe mchina wa zec uko na afadhali usidanganyke na jina sumsung mchina huyo sio Samsung
 
Wengi wamekurupuka kutoa ushauri.

Kuna tofauti kubwa kati ya sUmsung na sAmsung
 
Wengi wamekurupuka kutoa ushauri.

Kuna tofauti kubwa kati ya sUmsung na sAmsung
Nilitoa ushauri nikifikiri alifanya typo wakati anaandika nikidhani alimaanisha Samsung, kibaya zaidi hiyo Sumsung sijawahi isikia na Pia google imeshindwa kunitolea product inayoitwa Sumsung, Naomba ufafanuzi hapo kwenye bold.
 
Hilo ni swali la kwanza kabisa alipaswa aulizwe mleta hoja, maana inawezekana alichokiandika ndicho alichokiona.

Ngoja tusubiri majibu
 
Back
Top Bottom