M MWIJA 08 Member Joined Jun 29, 2022 Posts 44 Reaction score 59 Jul 22, 2022 #1 Habarini wana jf wenzangu, Naomba kujulishwa au kufahamishwa ni app gaani ilio boora ambaayo naweza kuitumia kujua mahali alipo mtu anaetumia simu ndoogo ya mkonooni(battani). Nawasilisha asanteeni.
Habarini wana jf wenzangu, Naomba kujulishwa au kufahamishwa ni app gaani ilio boora ambaayo naweza kuitumia kujua mahali alipo mtu anaetumia simu ndoogo ya mkonooni(battani). Nawasilisha asanteeni.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,904 Reaction score 42,219 Jul 23, 2022 #3 Achana nae tu. Tz siku hizi kuna spirit ya wapenzi kuuana, achana nae, au mvumilie mpaka abadilike.