Leo nmewaletea software inayoweza kubypass password ya windows yoyote ndani ya sekunde chache tu, hii software inaitwa kon boot yenyewe ni kwamba ina itaruhusu tubypass password protected system...
Habari wakuu,
Kwa wenye uzoefu wa Smart TV, naombeni kujua toleo zuri(interms of features and durability) la tv aina ya hisense.
Je, kabla ya kununua inatakiwa kuzingatia taarifa zipi?
computer science refers to the processes of creating usable computer programs and applications and the theories behind those processes. An employee in this industry will likely be doing a lot of...
Wadau!
Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa...
Bila kupepesa macho.
Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo.
Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19.
Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.
Habarini wana zengo, je Kwenye iPhone kuna app ya call record ya free kutumia, naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Mbali na iyo app ni app gani nyingine muhimu na nzuri nashauriwa kuwa nayo Kwenye...
Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili...
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije...
Habari wajuvi, natumaini hamjambo
Katika pitapita zangu mitandao mbalimbali ya kijamii kusaka bidhaa used nimekuta bei ya ps4 fat used kati ya 500k - 550k tofauti na ps4 slim na pro ambazo bei ni...
Whatsupp
Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie...
Sote tunamkumbuka Isaya Yunge ambaye alikuwa ni moja kwati ya promising souls nchini kwenye sekta ya technolojia
Isaya aliweza kutengeneza Soma App app Edtech app lakini haikufanya vizuri sokoni...
Motorola Moto X30 Pro
Camera 200 MP
Selfie camera 60 MP
Screen 6.7"
Fast charger 0-100$ 19 minutes
Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
Habari , natumia simu aina tecno spark 3 kama mwezi sasa, ila juzi line slot 2 ambayo nimeweka laini ya tigo haisomi mtandao badala yake inaonyesha majina tu na msg zake zilizoingia zamani...
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, arusha Tanzania