usa makampuni makubwa ya simu ni verizon, at&t , sprint, na t-mobile
katika hayo makampuni makubwa yanatumia teknlolojia tofauti tofauti ya mawasliano, cdma tu au gsm tu, japo kuna makampuni madogo huwa yanatumia both cdma na gsm
cdma ni teknolojia ya mawasiliano ya simu ambayo haitumii simcard, while gsm use simcard
sasa katika hayo makampuni ya simu; sprint-cdma , verizon -cdma , at&t-gsm , t-mobile-gsm
kwahiyo verizon simu zao huwa hazina sehemu ya kuweka simcard,
japo kuna simu huwa zimetengenezwa kuwa na uwezo wa cdma na gsm, hivyo inakuwa na sehemu ya kuweka simcard
kwahiyo vizuri anayekutumia mwambie akutumie simu ya at&t au t-mobile ni uhakika zaidi, we utabaki kuzi-unlock tu kama hazitakuwa zimekuwa-unlocked
au kama simu ni ya sprint au verzion ahakikishe ni simu yenye uwezo wa gsm na cdma, napo utabaki ku-unlock tu