C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,769
Sote tunamkumbuka Isaya Yunge ambaye alikuwa ni moja kwati ya promising souls nchini kwenye sekta ya technolojia
Isaya aliweza kutengeneza Soma App app Edtech app lakini haikufanya vizuri sokoni
Ndipo akaja na SmartKaya speaker ambazo ni smart au tunaweza sema Speaker Janja
Lakini mpaka sasa hakuna project yeyote ya SmartKaya, hakuna anayejua lini speaker hizo zitakuwa sokoni, nini kimemsibu
Je ni investor wamemuangusha, manufactures, au nini hasa
Kuna umuhumu wadau tukajua ambapo tunaweza saidia kwa Mawazo
SmarkKaya ingeanzishwa ingekuwa ni moja ya platform nzuri sana kuwahi kutengenezwa na Mwafrika naumia kuona kama hii ndoto inaenda kufa
Nawasilisha