General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,268
- 2,632
Bila kupepesa macho.
Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo.
Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19.
Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.