Jifunze kuingia kompyuta yoyote yenye password

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
Leo nmewaletea software inayoweza kubypass password ya windows yoyote ndani ya sekunde chache tu, hii software inaitwa kon boot yenyewe ni kwamba ina itaruhusu tubypass password protected system, ila ukirestart mashine mambo hujirudi vile vile cha kufanya:

1.download file hapa www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=122881&d=1385154222

2.extract file utakuta image file ya kon-bootCD.iso

2.burn hio imagefile, kwa kutumia software inayoweza kuburn image kwenye cd ili iwe bootable

3. ukishaburn hio disc kaiingize kwenye computer yenye password then restart ili isome disc vizuri

4.utaona hii notification ili kujua kama cd imesomeka bila matatizo
booting-konboot-11.png

5.usiminye kitu ,windows itaload yenyewe then kwenye sehem ya password andika chochote then minya enter

6.enjoy yourself

7.WARNING, THIS TUTORIAL IS FOR EDUCATION PURPOSE ONLY AND NOT FOR ANY OTHER USE
 
Attachments

  • kon-bootCD.zip
    3.9 KB · Views: 1,155
nice trick.

Ku-bypass windows pasword sio ishu sana. Kwa mfano mimi PC yangu ina-password simple mfano 2013 lakini bado natumia BitLocker drive encryption ambayo naamini hadi sasa hamna mtu ambaye ameshawahi kuhack bitlocker encrypted drive.

Nnachokifanya sasa zile file za kawaida kama miziki, picha na document za kawaida zinakuwa kwenye my documents, my pics n.k. Halafu drive nyingine huwa zinatunza project na kazi nyingine za muhimu.
 
Umenifumbua Macho Mkuu, ngoja niconfirm hii kitu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom