Naomba kujuzwa toleo bora la Hisense

Naomba kujuzwa toleo bora la Hisense

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
297
Reaction score
407
Habari wakuu,

Kwa wenye uzoefu wa Smart TV, naombeni kujua toleo zuri(interms of features and durability) la tv aina ya hisense.

Je, kabla ya kununua inatakiwa kuzingatia taarifa zipi?
 
Habari wakuu,

Kwa wenye uzoefu wa Smart TV, naombeni kujua toleo zuri(interms of features and durability) la tv aina ya hisense.

Je, kabla ya kununua inatakiwa kuzingatia taarifa zipi?
Cha msingi ni ununue kwenye duka linalo jielewa au ukanunue kwa mawakala kabisa. Ukisha uziwa hakikisha umepewa card warranty ya maandishi na sio maneno!
 
jaribu kuangalia toleo hili U7QF kuna kuanzia 50" na kuendelea
 
Back
Top Bottom