Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ndugu wana JF!! Mwenye uzoefu wa Tv zinaitwa Evolli anipe mawazo. Zipo vizuri au za kipuuzi
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu mambo vip? wataalam wa mambo ya blogging na website naomba msaada kwa hizi issue hapa.
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Teknolojia inazidi kukua. Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G. Tanzania tunajiaandaa kwa...
2 Reactions
8 Replies
670 Views
Habari wana jukwaa naulizia gharama za unlimited internet kwa makampun ya sim mwenye anajua anijuze niliulizia Vodacom huduma kwa wateja wakaniambia hiyo huduma ipo ila unakua umefungiwa ka dish...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Hiyo simu inauweza kutunza chaji mara ya nne ya infinix note 3
5 Reactions
125 Replies
27K Views
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea bidhaa na huduma bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani. Chukua mfano wa simu janja (smartphone) na mtandao wa intaneti, vitu hivi viwili, vimeleta...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama uzi unavyojieleza mimi nipo moro 0785499058
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Leo nmewaletea software inayoweza kubypass password ya windows yoyote ndani ya sekunde chache tu, hii software inaitwa kon boot yenyewe ni kwamba ina itaruhusu tubypass password protected system...
7 Reactions
71 Replies
17K Views
Habari wakuu, Kwa wenye uzoefu wa Smart TV, naombeni kujua toleo zuri(interms of features and durability) la tv aina ya hisense. Je, kabla ya kununua inatakiwa kuzingatia taarifa zipi?
0 Reactions
3 Replies
632 Views
Samahani kwa wana It naomba msaada namna ya kuifunga simu iliyoibiwa imei ninazo na imail iliyoyokuwa inatumika kwenye ile simu
2 Reactions
11 Replies
6K Views
computer science refers to the processes of creating usable computer programs and applications and the theories behind those processes. An employee in this industry will likely be doing a lot of...
0 Reactions
36 Replies
18K Views
Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Bila kupepesa macho. Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo. Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19. Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.
0 Reactions
5 Replies
708 Views
Habarini wana zengo, je Kwenye iPhone kuna app ya call record ya free kutumia, naombeni msaada wenu ndugu zangu. Mbali na iyo app ni app gani nyingine muhimu na nzuri nashauriwa kuwa nayo Kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language ambayo ni kiswahili...
9 Reactions
315 Replies
23K Views
Hivi naweza badilisha picha zilizoandikwa ambazo zinahitaji kuchapishwa tena na kubadilishwa kuwa faili za pdf kwakutumia simu?
1 Reactions
7 Replies
615 Views
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom