Nataki niweke blue tick kwenye account yangu ya Instagram

Weka webisite pale kwenye details pia account iwe Public sio private na uende settings nenda ka switch to business profile ita ku link na FB
d8d012ce347df7385b7a97ca6630ffc5.jpg
 
Hiyo switch to business profile nimeshafungua lakin hiyo blue tick ndo ilishanishinda account bank sina
 
Kuna mtu aliambia aniuzie account yake ya instagram nikamtumia hela akafu akagoma kunipa nilitaka kama kunauwezekano wa kuihack mm nitakulipa
 
Back
Top Bottom