Hello wakuu.
Ukweli ni kuwa kwa ulimwengu wa sasa bila kuwa na internet ni sawa na kuishi gizani. Na kuna sisi wengi wetu tunatumia sana internet kwa ajili ya shughuli zetu za kila siku...
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu
Ni mpya inch 32
Star x led tv = Tsh 330,000
Star x smart tv...
Habari wadau
Ningependa kufahamu kama router ya airtel huawei b68a-24 inapokea network(internet) kutoka kwenye ethernet na kushare kwa Hotspot?
Maana niliconnect ethernet (rj45) kutoka kwenye...
Habar wakuu
Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje
Shukran
Habari wakuu,natumia Tv aina ya Mr Uk juzi jioni nimerudi nyumbani nawasha Tv nakuta nusu ya juu kwenye screen ya Tv mwanga umefifia kidogo(japo mpaka mtu uwe makinj sana ndiyo utaweza...
Je unahisi hii kamouni mya ya Nothing tech waliotengeneza simu mpya inayo itwa nothing phone kwa mantiki ya kuondoa kikwazo kati ya watumuaji na tecknolojia , je unahisi itazipiku giant kampani za...
Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
Wakuu juzi nilijichanganya nikaweka call ringtone inaitwa ghuma kwenye hiki kisimu changu cha Azumi.
Basi bwana nikawa nimeomba code ya mkeka kwa mshikaji, mida ya jioni jamaa wa code akanipigia...
Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua.
Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo...
Kama inavyojieleza hapo juu mimi ni mhanga wa tukio la wizi wa pesa..kuna mtu kaniibia pesa zangu huku akiacha ushahidi ambao sitautaja na kutokomea kusiko julikana ilihali kwenye simu anapatikana...
Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja...
Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa.
Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver...
Kuna hii app ya chapchap ya wabongo unaagiza vitu China kama redio Raba na Vinginevyo
Nilitaka kuagiza HIZI JBL Clip 4 Kwa Moja Wanauza 34000 lakini unatakiwa uchukuwa je HIZI Redio ni OG ama ni...
Habari wakuu?
Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality...
Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm