coutinhotz
Member
- Oct 25, 2018
- 16
- 15
Naombeni Ushauri Simu Ipi Ipo Affordable Kwa Bajeti tajwa Na Ubora Wake Storage Processor Camera Na Vinginevyo Nitaheshimu Mawazo yenu Wadau
Tigoshop Wanasema 390K 64GB Na 128GB Hawana Ila Wengine Naona Wanauza 350K to 128GB Inakuaje Chief OG Kweli Na Unazitambuaje Fake Na OGRedmi 10C tigoshop 310,000 mpaka 350,000 inategemea na muda.
64GB storage ama 128GB, ram 4GB, soc ni snapdragon 680.
Tigoshop wamepandisha, Tamaa zimeanza.Tigoshop Wanasema 390K 64GB Na 128GB Hawana Ila Wengine Naona Wanauza 350K to 128GB Inakuaje Chief OG Kweli Na Unazitambuaje Fake Na OG
Nimefanikiwa Kununua Redmin10C Kwa 360K 4GB Storage 128GB Changamoto Kuweka Gcam Nikajaribu Install Google Camera Haisuport Inakuaje Hiyo ChiefTigoshop wamepandisha, Tamaa zimeanza.
Ila umehakiki umeulizia redmi 10C na sio redmi 10?
Kenya inauzwa equivalent ya hio 310,000 hivyo kama redmi 10C imekuja Officially inatakiwa iuzwe bei hio.
Kujua OG mkuu cheki soc na cpu z kama ni sd 680, pia angalia mambo mengine ya miui/Xiaomi ambayo ni exclusive mfano Infrared port kutumia simu kama remote.
Eka Gcam ya Redmi note 11, same soc sd 680, wakati naweka ile full version yenye mb 200+ ndio ilikubaliNimefanikiwa Kununua Redmin10C Kwa 360K 4GB Storage 128GB Changamoto Kuweka Gcam Nikajaribu Install Google Camera Haisuport Inakuaje Hiyo Chief
Pia umenunua wapi Mkuu?Nimefanikiwa Kununua Redmin10C Kwa 360K 4GB Storage 128GB Changamoto Kuweka Gcam Nikajaribu Install Google Camera Haisuport Inakuaje Hiyo Chief
Nimenunua Mtaa Wa Aggrey Pale Chief Walinianzia 380K Sema Nilizunguka Kweli Maduka Mengi 420K Mwisho 390K Nikabahatisha Duka Moja Mtaa Huo Ndio Nikachukua Mkuu Vipi Lakini bei Ipo Sawa Maana Nikawa Na Wasiwasi Isije Ikawa Copy Au Namna Fulani Walifungua Kwenye Seal Kabisa LakiniPia umenunua wapi Mkuu?
ipo sawa mkuu, Bongo tamaa nyingi mtu anataka anunue kitu 300k auze 450kNimenunua Mtaa Wa Aggrey Pale Chief Walinianzia 380K Sema Nilizunguka Kweli Maduka Mengi 420K Mwisho 390K Nikabahatisha Duka Moja Mtaa Huo Ndio Nikachukua Mkuu Vipi Lakini bei Ipo Sawa Maana Nikawa Na Wasiwasi Isije Ikawa Copy Au Namna Fulani Walifungua Kwenye Seal Kabisa Lakini