Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,697
- 2,896
Wakuu juzi nilijichanganya nikaweka call ringtone inaitwa ghuma kwenye hiki kisimu changu cha Azumi.
Basi bwana nikawa nimeomba code ya mkeka kwa mshikaji, mida ya jioni jamaa wa code akanipigia simu kunijulisha kuwa tayari ametuma.
Aisee huo mlio sasa wa simu inavyoita "fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi" nilidata wakuu nilijua labda porn imejiplay.
Tafadhali Azumi toeni hiyo ringtone, au basi ibadilishe jina iwe pussy na mlio uwe wa kithungu.