Help with a blackberry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help with a blackberry

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Freelancer, Aug 2, 2009.

 1. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na blackberry nataka kuiunga kwenye mtandao nikaenda vodacom na zain kuomba waniunganishe nikaambiwa lazima niweke kama 40gz kuweka mtandao ambayo kila mwezi nitatakiwa kulipa whether nimetumia au cjatumia wakaniambia blah blah kibao as if kwamba nikiwa na blackberry sina option ya kulipa kwa jinsi ninavyotumia lazima nijiunge na hiyo ya kulipia kwa mwezi. Ckuridhika na hilo jibu nikaamua nifanye utafiti zaidi kama option ya kulipia kwa jinsi unavyotumia ni possible. Since blackberry wameilock browser inayokuja na simu na ili kuifungua ni mpaka kwa service provider na service provider ndo anataka niingie kwenye kitu ambacho cjakipenda. Advantage naambiwa eti hamna limited connection una surf kadri uwezavyo. Matumizi yangu ya net kwenye simu hayafiki hiyo 40 per month coz naitumia tu pale napokuwa nje ya ofisi na kuna information nahitaji mtandaoni. Nikaamua kudownload opera browser kwenye mtandao na kufanya installation. Bahati nzuri imefanya kazi na ndo naitumia kupost hii meseji. Sasa tatizo langu ni kwamba nikitaka kodownload a file kama pdf inafungua external browser ambayo ndo ya simu kwa hiyo nashindwa ku download. Vipi nitaifanya hii opera my default browser ili isiwe inaenda kwenye browser ile ambayo ipo locked
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  1. Hakikisha una latest version ya Opera Mini

  2. Sijui una Blackberry ipi, lakini angalia Firmware version ya Blackberry yako ingia
  Options-> About
  au Settings->Options-> About.
  Utakuta kitu kama "v.4.xxxx"

  3. Kama Firmware yako ni chini ya 4.2 basi simu yako haiwezi kusuport kusave moja kwa moja kutoka Opera Mini.

  4. Kama ni 4.2 au zaidi inatakiwa ifanye kazi, kama umefikia hizo requirements lakini inagoma basi naomba urudi na model ya blackberry yako tujaribu kukusaidia zaidi.
   
 3. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Natumia 8310 na firmware ni 4.5. X. X. Latest version ya mini opera ni ipi?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Opera 4.2 ndo latest
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Pia hiyo simu kwanini ko locked? Yaani iko locked to network ipi?
   
 6. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Umeshaitest hiyo version 4.2 sababu ndo ambayo ninayo. Nimejaribu kuperuzi forum mbali mbali naona kama opera hawaja implement hiyo feature. Labda unipe link ya hiyo version 4. 2 inayofanya kazi yangu haifanyi
   
 7. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Haipo locked to any network sababu natumia line za mitandao tofauti. Default browser ndo imekuwa locked. Kwa hiyo siwezi pata internet na default browser
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hiyo feature ipo kwenye 4.2
  http://www.opera.com/mini/features/
  "
  ....... you can now upload and download files using Opera Mini, without being re-routed to your phone’s native browser......."
  Simu kama umeinunua unlocked browser haitakiwi kuwa locked. Unamaanisha nini unaposema Browser iko locked? Ukijaribu kuitumia browser kitu gani kinatokea?
  Umechezea settings za mtandao kwenye simu? APN na vitu kama hivyo?
   
 9. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Naambiwa kwamba niipeleke kwa service provider wangu sababu browser settings hazijawa configured. sababu nilinunua hand set zain inawezekana walisha temper nayo. Lakini ckununua under any contract ilikuwa kwamba wananipa simu yangu na mimi naweza kutumia mtandao wowote. Currently nipo tigo
   
 10. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Naambiwa kwamba hiyo feature ipo kwenye simu zinazosupport JRS 45. Nitajuaje kama cimu yangu inasupport hicho kitu?
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Wanasema kama una Firmware 4.2 or above inatakiwa kufanya kazi.

  Settings za net zipo kwenye
  Options > Advanced Options > TCP.
  Kama zinabadilishika basi weka za provider wako, i.e Tigo.
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Freelancer,
  Naomba utuwekee settings unazotumia kwenye BB yako kupata Internet.
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
 14. afkombo

  afkombo Member

  #14
  Aug 3, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
 15. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Sina settings zozote napata mtandao directly. Nimebrowse forum moja nimekuta article ya ku enable browser without black berry data plan. Ndo nitaifanyia kazi halafu nitawajulisha. Citaki kutumia hiyo data plan yao nataka kutumia tu internet kama kwenye simu zingine
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Tafuta settings za Tigo (APN etc) dumbukiza kwenye BB, then browser itafanya kazi.
   
 17. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Issue sio apn. Kama kuna mtu anafahamu apn anipatie. Ni the way simu ilivyokuwa configured. Natakiwa kuwipe out IT policy settings. Hizo ndo zinafanya nishindwe kutumia browser. Nimedownload tool ya kufanya hivyo
   
 18. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I remember seeing that somewhere before.
   
 19. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
 20. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Baada ya kusoma maelezo yako nimeelewa kwamba ili uweze kutumia kwa raha simu hiyo kwa Tanzania ni lazima uwaone Zain ambao wanatambuliwa na BlackBerry na wao BlackBerry wanatoa software download kupitia Zain.

  Sasa matumizi ndio yanayokubana na unaonekana hutaki kutumia internet kupitia Zain, jambo ambalo linakuwa gumu na ndio umechanganya hizo software kati ya "original application" ambayo ama inakuwa kwenye package nzima ya simu yako kwenye CD na hio Opera browser.

  Ila ukumbuke Zain ndio wako authorized kukupa service hio na assistance kwa niaba ya BlackBerry.

  Wazo langu la kiufundi ni kwamba inabidi uweke Opera Mobile 9.7. ambayo ni latest na special kwa smartphones kama BlackBerry yako na PDA na itakuwezesha ku-surf full web.

  Jinsi ya kufanya.

  Uninstall web browsers zote zilizomo humo kwenye simu yako na baada ya hapo i-download hio Opera Mobile 9.7 kupitia link ifuatayo

  http://www.opera.com/mobile/

  Halafu ufanye yafuatayo

  1.Save the file on your computer

  2.Synchronize it to your Windows Mobile device.

  3.Install Opera on your phone.

  Ukimaliza anza kushughulika.
   
  Last edited: Aug 4, 2009
Loading...