Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

NJIA ZINGINE ZA MAPATO HIZI Miaka michache iliyopita niliwahi kufanya kazi sehemu moja , moja ya kazi zetu zilikuwa ni kutengeneza Programu mbali mbali zinazoweza kutumika kufanya kazi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JESHI la Polisi limeunda timu ya kuchunguza matukio ya uhalifu kwa njia ya mitandao, simu za mikononi, ATM za mabenki na huduma nyingine za mitandao cha Ant cyber crime Unity ili waweze kubaini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwa mtazamo wa watanzania je unaona technology ipi ilikuwa au itakuwa ndio the hottest kwa mwaka 2009? either iwe ni mpya duniani ama nyumbani.Kushiriki kupiga kura Click here!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWA NINI IKULU WALIAMUA KUTUMIA YAHOO Pamoja na kwamba nilikosoa uamuzi wa ikulu ya tanzania kutumia barua pepe ya yahoo kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi , nimekaa tena na kufikia mara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii nimeikuta sehemu na nikaona niilete hapa. Sikutaka kuiweka kwenye jukwaa la dini kwani imekaa zaidi kisayansi. Soma na wewe utowe mawazo yako. Ila kwa mbali inatoa somo safi sana hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Managing projects is hard work at the best of times, but there are a number of free and open source (FOSS) applications available that can help CIOs and other managers streamline the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watumia mtandao wa internet! Kuna habari nimezipata leo kutoka chanzo kimoja cha habari kuwa kuna uwezekano TTCL wakapunguza gharama za broadband kuanzia mwezi wa kumi. Habari hizi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii nimeikwapua eThinkTank To some if not many of you this many not be new, but I hope it may be usefully to some. Google Translate sasa inaweza kutafsiri lugha ya Kiswahili. Japo ina mapungufu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
You work with documents, presentations, graphics, and other files all day—and chances are, you have a lot of them. And that means it takes time to find the documents you need. Even if it's just a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NI mara nyingi unakuwa na presentation labda Lab au darasani,tatizo linalowakuta sana watu ni kuwa utakuwa computer za Lab hazina software unazohitaji au kuna wakati unakuta version ni tofauti...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Your PC (Personal Computer) is a system, consisting of many components. Some of those components, like Windows XP, and all your other programs, are software. The stuff you can actually see and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimejaribu kuandika kitu hiki SELECT * FROM klienci WHERE EXISTS ( SELECT adres FROM klienci WHERE id = '1' ) nimejaribu kubadili sana lakini wapi na tatizo mie sioni ,naomba msaada haswa wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakubwa kwa wasiokuwa na taarifa kuwa iEEE wireless standards organization wameiprove 802.11n so tutegemee mambo matamu soon, Kwa wasioifahamu vizuri unaweza pata uhondo... A new standard...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nimetoka ku-restore Coat of Arms yetu ktk wikipedia ambayo kwa kusikitisha ilikuwa inadisplay coat of Arms ya Rwanda!!! sasa najiuliza hili lilitokea vipi? ama kuna watu wanaotuhujumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Two Of the Best OS Were Released Recently, Now I was trying to Find out how many people have started using Snow Leopard "Mac" or Windows 7 "Microsoft OS" And how Likely are you to continue...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The New Nokia Booklet 3G Netbook: An In-Depth Product Review Posted by Allie Vance | 13 September 2009, 5:43 am The Nokia Booklet 3G is a very innovative approach from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Were Wright Brothers the first to fly? Wilbur and Orville Wright weren't just lucky to make the first flight. They played with flying paper models in their youth, and by 1901 they had made...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Technology 160 billion emails are sent daily, 97% of them are spam. Spam generates 33bn KWt-hours of energy every year, enough to power 2.4 million homes, producing 17 million tons of CO2. 9 out...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
This DVD5 ISO image file contains the security updates for Windows released on Windows Update on March 10th, 2009. The image does not contain security updates for other Microsoft products. This...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona nilete hii habari tuijadili wote wanajamii.Nilifurahi sana kwa kitendo cha kizalendo cha waziri wetu alipohutubia na kukerwa na kitendo cha Wahandisi wetu kuangusha Majengo.Mimi kutokana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…