Obhusegwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 231
- 28
Ndugu zangu watumia mtandao wa internet!
Kuna habari nimezipata leo kutoka chanzo kimoja cha habari kuwa kuna uwezekano TTCL wakapunguza gharama za broadband kuanzia mwezi wa kumi. Habari hizi sijazithibitisha ila kama kuna mwenye data zenye uhakika naomba atumwagie make zinaweza kuwa habari njema kwani gharama ya internet bado iko juu mbali na ujio wa fibre optic cable.
Naomba kuwasilisha