Wikipedia - Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wikipedia - Tanzania

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bantugbro, Sep 13, 2009.

 1. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wadau,

  Nimetoka ku-restore Coat of Arms yetu ktk wikipedia ambayo kwa kusikitisha ilikuwa inadisplay coat of Arms ya Rwanda!!! sasa najiuliza hili lilitokea vipi? ama kuna watu wanaotuhujumu kwakuwa sisi hatuko makini na pia kutojali vyakwetu ama ni ule ugonjwa wa aaagh fulani atafanya!

  AMANI
   
 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri sana mkuu wangu tuna udhaifu kwa kutojua masula haya bwana mzee
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Was just an error.
  Maana sasa mnaelekea kwenye kutaja ufisadi.
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Paka,
  Watu sasa tumeshapagawa, kwani hata ufisadi si ulianza hivihivi isije kesho wakaaanza kukleim wilaya zetu za kaskazini magharibi!
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Josh,
  Pamojah mkulu
   
Loading...