Kiswahili is now available in Google Translation

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
Hii nimeikwapua eThinkTank

To some if not many of you this many not be new, but I hope it may be usefully to some. Google Translate sasa inaweza kutafsiri lugha ya Kiswahili. Japo ina mapungufu yake lakini ni ya msaada pia na kama kawaida ya Google inatoa nafasi ya mtu kuchangia kuboresha lugha hasa pale unapokuwa hujaridhika na majibu yao.

Adam Jackson Foya
P.O.Box 42329 Dar Es Salaam,Tanzania
Blog: http://marafikiwavitabu.wordpress.com/

"As much as you critical, be constructive"


Nimeijaribu service yao, naona iko bomba!
 
Kiswahili kiko juu kuliko wengi tunavyodhani.
Watu weusi pia wako juu kuliko wengi wetu wanavyodhani. That is what I believe!



attachment.php

 

Attachments

  • jf.PNG
    jf.PNG
    6.8 KB · Views: 88
Hicho kiswahili kilicho tumika ni kile neno kwa neno, kwa maana hiyo ukiwa na article ndefu inabidi uhifanyie uhakiki tena ili taarifa yako ipate kueleweka.
 
Back
Top Bottom